SAUTFM

Sunday 22 May 2016

JUVENTUS MABINGWA COPPA ITALIA 2016

Klabu ya Juventus jana ilifanikiwa kuchukua ubingwa wa Coppa Italia baada ya kuifunga klabu ya ac Milan goli 1-0 huku goli la juventus likifungwa na Alvaro Morata dakika 110 aliyetokea benchi,hii itakuwa ni mara ya pili mfululizo kwa klabu ya juventus kuchukua ubingwa wa Serie A na Coppa Italia.

0 comments: