SAUTFM

Sunday 22 May 2016

TAMBWE MFUNGAJI BORA VPL

Mshambuliaji wa Yanga sports klabu Amis Tambwe ameibuka mfungaji bora wa ligi kuu tanzania bara(VPL) msimu wa 2015/2016 baada ya kufanikiwa kufunga goli 21.

0 comments: